Emmanuel Temba
Member
- Aug 22, 2015
- 36
- 6
Naomba msaada namna ya kufuata ili kuweza kutuma maombi ya ualimu ngazi ya cheti katika vyuo vya kiserikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzako Tupo Kitaa Mwaka Wa 3 Baba Jesca Ametuweka Reserve tunapambana Na Hali Zetu.Naomba msaada namna ya kufuata ili kuweza kutuma maombi ya Ualimu ngz ya cheti katika vyuo vya Kiserikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada wa kujiunga na masomo inakuaje ,,,Wenzako Tupo Kitaa Mwaka Wa 3 Baba Jesca Ametuweka Reserve tunapambana Na Hali Zetu.
"Mwalimu Ni Kioo cha Jamii"
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Wenzako Tupo Kitaa Mwaka Wa 3 Baba Jesca Ametuweka Reserve tunapambana Na Hali Zetu.
"Mwalimu Ni Kioo cha Jamii"
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Kwa ujibuji huu wa maswali, ni bora mlivyokuwa hamjapata ajira. Mtawasumbua wanafunzi wanaopenda kuuliza maswali.Ukipata nafasi njoo nikupe vitini vya kujisomea maana mimi saivi mikono ipo kichwani kwanini nilisoma ualimu tangu 2015 hadi leo wanahakiki miaka hii ipo kwenye diary
Sent using Jamii Forums mobile app
Tembelea tovuti ya www.nacte.go.tz utapata maelekezo yote.Naomba msaada namna ya kufuata ili kuweza kutuma maombi ya Ualimu ngz ya cheti katika vyuo vya Kiserikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana wewe sio mhanga ushauri wangu asiende ualimu ni uharibifu wa muda tu! Aende tu vetaKwa ujibuji huu wa maswali, ni bora mlivyokuwa hamjapata ajira. Mtawasumbua wanafunzi wanaopenda kuuliza maswali.
Ukipata nafasi njoo nikupe vitini vya kujisomea maana mimi saivi mikono ipo kichwani kwanini nilisoma ualimu tangu 2015 hadi leo wanahakiki miaka hii ipo kwenye diary
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona unamwambia akipata nafasi akachukue vitini?Inaonekana wewe sio mhanga ushauri wangu asiende ualimu ni uharibifu wa muda tu! Aende tu veta
jina langu