Wakuu naomba nijuzwe namna ya ku update s2 yangu coz had leo iko na kernel version.
So how ?
mkuu weka link bac,,wahitaji tuko weng.Tatizo dogo tu hlo cha kufanya download odin v3 kisha na firmware ya simu yako na kies kwa ajili ya driver kisha weka simu yako download mode kisha connect then fungua odin kisha start ikimaliza simu yako itakuwa poa kwa utashindwa
ntakupa link ya kudownload hizo software
mkuu weka link bac,,wahitaji tuko weng.
Mkuu khalfan56 tunaomba utuwekee hizo links kwa simu tofauti tofauti ili tuhame S 2