modem yangu ni ya voda je inaweza kukubali ?
Mi nina modem ya Huaiwei,ilikuwa inatumia line ya Airtel. Nifanyeje niweze kutumia line zote au nitumie line mojawapo kati ya tigo,voda au airtel yangu?.
Nashkuru nimekuelewa mkuu. Ni huawei zte E 173.duh kaz ipo.
-ukiambiwa jina la mtandao
*jibu ni voda, tigo,airtel,zantel,ttcl...........
-ukiambiwa aina ya modem
*huawei, zte
-ukiambiwa modal
* E303, E173, E153,
Nashkuru nimekuelewa mkuu. Ni huawei zte E 173.
ni huawei e173 hio haichakachuliki mkuu
inachakachulika mkuu ila kwenye dccrap inabidi uwe umenunua credits
dccrap ni hiyohiyo dc unlocker ambayo ni cracked.kwahiyo haihitaji credit.yah hio nafahamu dc unlocker (sio dccrap) inachakachua lakini jua modem hio haichakachuliki kwa credit moja na kila credit kama sjakosea ni euro 1 so calculate cost utaona ni ujinga tu
Nashkuru nimekuelewa mkuu. Ni huawei zte E 173.
dccrap ni hiyohiyo dc unlocker ambayo ni cracked.kwahiyo haihitaji credit.
Wakuu nimekwama naomba maujanja ya ku unlock modem ili niweze kuitumia kwa laini za differenct subscribers