Mkuu hakuna wizi wowote, changamoto ni kuwa simu ina SCREEN pattern na vilevile ina FINGERPRINT kwa bahati mbaya nimesahau kueleza hapo kwenye thread. Kwa sasa anatumia fingerprint tu kutoa lock, ila kuna muda simu inakuwa inamzingua kwenye baadhi ya customization ikihitaji pattern ndio maana amenipa na hizo details za simu kwenye hizo attachments.Tukusaidie wizi?
Sasa kwann haweke vyote hivyo,fingerprint na screen pattern yaani simu ni ya mkononi na mtumiaji ni wewe afu bado unajilock balaaMkuu hakuna wizi wowote, changamoto ni kuwa simu ina SCREEN pattern na vilevile ina FINGERPRINT kwa bahati mbaya nimesahau kueleza hapo kwenye thread. Kwa sasa anatumia fingerprint tu kutoa lock, ila kuna muda simu inakuwa inamzingua kwenye baadhi ya customization ikihitaji pattern ndio maana amenipa na hizo details za simu kwenye hizo attachments.
Mmh! Mkuu changamoto ni kijana ambaye ndio kwanza ameanza kumiliki smartphone, sasa yeye ni kujifanya anajua kutumia simu.Sasa kwann haweke vyote hivyo,fingerprint na screen pattern yaani simu ni ya mkononi na mtumiaji ni wewe afu bado unajilock balaa
Sasa itokee kapata ajali au kaanguka ghafla msamalia mwema ataweza saidia chochote kupitia cm yake angalau kuwapa taarifa watu wake wakaribu?