Msaada namna ya ku unlock Apple ID kwenye iphone4s

Msaada namna ya ku unlock Apple ID kwenye iphone4s

srinavas

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
4,270
Reaction score
4,182
Tafadhali waungwana,

naombeni msaada wa namna ya ku un lock iphone ambayo imejilock na apple id , kuna watu wengine wanasema kuwa mara haiwezekani ku unlock na wengine pia wanasema inawezekana , sasa naombeni msaada je inawezekana? na kama inawezekana ni kwa namna gani?

msaada tafadhali
 
Umesahau password...?waulize hao wanaosema inawezekana...mi naungana na wasemao haiwezekani
 
Kama umenunua kwa kibaka ifanye toy bado itakupa faida kwa kuingalia, kama umenunua kwa mtu unayemfahamu wasiliana naye halafu akupe ID na password na kisha weka ID yako mpya
 
Umezoea simu za kichina eeh ukiinunua kimagumashi ikiwa na password unaenda Kariakoo kuifungua kwa dk 2 tuu. Huyo ni Mmarekani Baba utahangaika sana na mimi nakushauri uitupe na usiiweke ndani kabisa maana muda si mrefu utakamatwa na mwenye simu then utapata majanga mengine makubwa zaidi ya kuiba simu.
 
Ni yako? Kama si yako achana nayo, hutaambua kitu...
 
Umezoea simu za kichina eeh ukiinunua kimagumashi ikiwa na password unaenda Kariakoo kuifungua kwa dk 2 tuu. Huyo ni Mmarekani Baba utahangaika sana na mimi nakushauri uitupe na usiiweke ndani kabisa maana muda si mrefu utakamatwa na mwenye simu then utapata majanga mengine makubwa zaidi ya kuiba simu.

Asaante kwa ushauri , ila sio simu ya wizi
 
Basi natafuta mteja aje nimuuzie kama spear,,, kwa anayetaka tafadhali tuwasiliane
 
Kuna suala la kukuambia "Ipad disable connect to itune" bahati mbaya ile computer uliyofanyia back up mekufa au imeibiwa lakini unakumbuka password zako na kila kitu inakuwaje?
 
Kuna suala la kukuambia "Ipad disable connect to itune" bahati mbaya ile computer uliyofanyia back up mekufa au imeibiwa lakini unakumbuka password zako na kila kitu inakuwaje?

Tafuta kumpyuta nyingine then install itune
Baada ya hapo utai restore na itafuta kila kitu
 
Back
Top Bottom