Msaada, Namna ya ku-root simu ya Huawei m7

jay-millions

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
4,684
Reaction score
12,144
Naomba msaada wa namna ya ku root simu ya Huawei mate 7, pia faida na hasara za kufanya hivyo
 
Naomba msaada wa namna ya ku root simu ya Huawei mate 7, pia faida na hasara za kufanya hivyo

Watu wengi sana mna-root simu kwa sababu watu wengi wana-root. Bila hata kuwa na purpose maalum, madhara yake mnakuja kuyajua baada ya kufuta system files bila kujua na hata kubrick simu. Member mwenzetu Njunwa Wamavoko aliielezea vizuri sana hiyo ishu nzima ya rooting na akaelezea na faida zake.

 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana wadau nmeroot simu yangu, nimeinstall hi fonts naona simu kama imekuwa mpya kabisa
 
Nashukuru sana wadau nmeroot simu yangu, nimeinstall hi fonts naona simu kama imekuwa mpya kabisa
Kwa kutumia app ya ifont ungeweza kuchange fonts bila hata kufanya rooting, maana huawei inatumia EmotionUI na Hifont inasupport EmotionUI, bila hata rooting
 
Kwa kutumia app ya ifont ungeweza kuchange fonts bila hata kufanya rooting, maana huawei inatumia EmotionUI na Hifont inasupport EmotionUI, bila hata rooting

Hizo Hifont na ifont zinabadili font za sehemu yinngine lakini hazibadili font iliyopo kwenye theme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…