download bluestack install kwenye pc yako
then download whatsapp apk kutoka google then install (ama kwa njia nyengine ila hii ni ndefu fungua bluestack search playstore then update ikimaliza download whatsapp kama unavyodownload kwenye simu)
baada ya hapo fungua whatsapp yako ila kuna taarifa utajaza kwanza kama gmail na vitu vingine ukimaliza whatsapp itafunguka,
enjoy