Msaada: Namna Interview ya Kilimo Wizarani inavyokuwa

G wa Kishiwa

Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
10
Reaction score
1
Naombeni msaada wa dondoo kwa alie wahi kufanya interview ya kilimo maswali huwa yamekaaje

Maana tumeitwa kwa interview Sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa Umma level ya Diploma.
 
Hongera kuitwa kwenye interview,,nami ninadiploma y agriculture ,ukifanikiwa kuingia kwenye interview utanijuza na mm yaliyomo
 
Kijana hyo Interview umeitwa Wizarani au Sekretariet ya Utumishi wa Umma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…