Msaada: Namba za simu Dar lux Mwanza

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Mwenye kufahamu namba za simu ya mkononi ofisi ya kampuni Dar lux, mwanza anisaidie tafadhali atabarikiwa na Bwana.
 
Hz gar n kwikwi wazee, asaiv wana route ya Dar to chuga ndan ya marcopollo , n mwendo wa kunyoosha goti
Ni Full kipupwe yani mpka abiria mnaomba AC izimwe hata masafa marefu (dar-mwza).
 
Mwambie apanue masoko alete mtwara na Lindi maana hata kusini now days kumenoga atanikumbuka kwa ushauri
 
i sisi usukumani tunaziita bombadia za chini, nikukadamiza tu.
Hiyo route kuna moja inaendeshwa na mdada, ana mbwembwe huyo acha tu.
Ni Full kipupwe yani mpka abiria mnaomba AC izimwe hata masafa marefu (dar-mwza).
Wana vijidada vizuri na huduma poa sana,
Panda hii mifuso yetu sasa, unakutana na konda mweusi tiii halaf anauso mchafu kinyama, ukiwa soft soft waweza ulipe nauli ya kwenda na kurud kwa woga, ukimpa nauli baadae ukimuita akurudishie chenji ile anageuka ukimchek usoni unabadilisha mawazo unamuuliza "Samahan baba konda hv unanidai sh ngap?" Unafka uendako kwenye paji la uso unachora "A" Inaonekana kwa ilo vumbi.
 
Hahaaaa
 
Wanajitahidi sana kuwahudumia wateja wao.
Mwanza na Mbeya ndiyo usafiri Wangu huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…