Kama Heading inavyojieleza naomba mwenye namba ya Tuwa au Dada mtu ( ambaye nilikuwa nawasiliana naye bahati mbaya nimepoteza simu yangu ). Natanguliza shukrani kwenu wakuu
Inategemea upo mkoa gani, kwa dsm vipo kinondoni Kuna duka lao la vitabu linaitwa Kona ya riwaya, au mpigie simu huyu jamaa pia ni mtunzi wa vitabu vya riwaya
0762204166