Msaada nakwama recruitment portal!!!

Qualifications hazi match na tangazo. Harafu umeandika as if wote tunajua unakwama wapi.
 
Aisee kila nikipandisha picha ina load tu. Wenye uzoefu please nishabadilisha nikatumia computer wapiii... Nikaja simu wapiiiii... Msaada tutani
 
Why applications zinagoma!
Kwa swali lako hili unategemea upate maelezo ya kina kweli? Kuwa serious kdgo bas mkuu.

Anyway... ni vyema ukascreenshot ulipokwana kama huwezi kueleza.
 
Aisee kila nikipandisha picha ina load tu. Wenye uzoefu please nishabadilisha nikatumia computer wapiii... Nikaja simu wapiiiii... Msaada tutani
Kwenye simu unatumia 'app' au 'web'?
 
Aisee kila nikipandisha picha ina load tu. Wenye uzoefu please nishabadilisha nikatumia computer wapiii... Nikaja simu wapiiiii... Msaada tutani
Kuna size ya picha wanayo ihitaji, angalia picha yako kama ina match na hivyo vigezo vyao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…