Msaada: Nahitaji wino wa printer

Msaada: Nahitaji wino wa printer

fdizzle

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,902
Reaction score
2,405
Nahitaji wino wa Printer na maelekezo jinsi ya kuweka ktk printer.
Bei ya wino pamoja na wapi naweza pata.
Nipo Dar es Salaam
 
Printer ziko za namna mbalimbali na cartridge hutofautiana. Taja aina ya printer au namba ya cartridge.
 
Taja aina na Model ya Printer! Kwani ziko nyingi na kila moja inatumia cartridge aina tofauti...
 
Printer ziko za namna mbalimbali na cartridge hutofautiana. Taja aina ya printer au namba ya cartridge.
IMG-20180212-WA0003.jpg
 
Nenda Mabibo hostel. Uliza mahali wanapojaza wino printer watakusaidia... Kujaza 'kichupa' kimoja ni kati ya
Tsh 5000-6000. Kama vimeisha vichupa vyote viwili, andaa sh elfu kumi hadi kumi na mbili...
 
Ahsante sana mkuu nashukuru na jinsi ya kujaza ndio sijajua wanajaza vipi kk
 
Au nibebe printer mpk huko
 
Ahsante sana mkuu nashukuru na jinsi ya kujaza ndio sijajua wanajaza vipi kk
Kama unaweza kuchomoa vile vichupa, vichomoe uende navyo. Unafungua mfuniko wa printer utaona vile vichpa vinasogea katikati. Viko viwili, cheusi na cha pink. So unavibenjua kwa juu vinachomoka.
Wale wa kujaza huwa wanavidunga sindano kuna kitobo fulani na kuinject wino.
 
Shukrani mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom