wakuu habari, naomba ambaye anaweza akanipa format ya video format ambayo ni compatible na DVD-player, pamoja na video coverter kwa ajiri ya hiyo format. natanguliza shukrani
Look for Leawo Software in the internet.Download a free software -by name Leawo DVD23 setup -a converter which has different formats and different output formats .