Hamjamuelewa Mtoa mada anataka ( punda yani wale wabeba madawa kusafirisha) Mtoa mada nenda bongo movie wapo maana wale wanapenda mAisha ya ukardashian Uku Kazi hawatak kufanya
Hamjamuelewa Mtoa mada anataka ( punda yani wale wabeba madawa kusafirisha) Mtoa mada nenda bongo movie wapo maana wale wanapenda mAisha ya ukardashian Uku Kazi hawatak kufanya
Inamaana JF ndio imekuwa na watu wenye uelewa mdogo namna hii.
Melta mada kaileta vizuri sana na dhamira yake ni njema tu,Punda wakamsadie kazi.
Leo mtu analeta Siasa,dnio tutabakia hivihivi,mwenzetu anaomba ushauri aingize hela kwenye mradi wake,Sie tunakalia Siasa na kubanana mjini kusubiria maisha ya kusadikika kwa wanasiasa.
Mkuu nakushauri kama una hela agiza Kondoa,wasiliana na wale wanaoleta Ng`omb Dar utapata kwa bei nzuri tu haizidi laki mbili.Watakupakilia kwenye Gari la Ng`ombe na kukuletea.