Wakuu nina hamu sana na nyama ya swala. Je inapatikana wapi hapa Dar?
Kula mbuzi ni jamii moja
Una uhakika???Kinondoni
Kondoo sio jamii ya mbuzi ila swala ni jamii ya mbuziNyama zinatofautiana kabsa, huwezi amini kondoo na mbuzi ni tofauti kabsa, hivyo swala hawezi kuwa sawa na mbuzi
Wala hazifanani hata kidogo.Kondoo sio jamii ya mbuzi ila swala ni jamii ya mbuzi
Basi wana fanana suraWala hazifanani hata kidogo.
Wakuu nina hamu sana na nyama ya swala. Je inapatikana wapi hapa Dar?
Aisee hata mimi kijitpnyama nilipiga sana na ugali wa mhogo na swalaJaribu Break point ya posta ilipokuwa club Bilicanas, nilikuwa naila sana kipindi kile wapo Kijitonyama
[emoji38][emoji38]Basi wana fanana sura
Ukuje DM mkuu lakini huyu unaenda kumuandaa mwenyewe utakavyo,Wakuu nina hamu sana na nyama ya swala. Je inapatikana wapi hapa Dar?
daaa jf.....raha sanaBasi wana fanana sura
Kula mbuzi ni jamii moja
Labda watakuwa wamepewa kibali cha kuuza maana Kuna makampuni yamepewa vibali vya uwindaji je unataka kuniambia wanyamapori wanaowawinda hawaliwi?Hivi waziri Kigwangala yumo humu JF? if yes, anatumia ID ipi ili tumtagi hii thiredi?