Habari,
Nahitaji mitihani "past papers" ya somo LA maarifa ya jamii/ social studies iliyofanyika mwaka huu 2018.
Itakuwa vizuri zaidi kama nitapata mitihani ya mock wilaya au mock mkoa, Ila hata kama ni mitihani ya ndani ya shule itanifaa.
Asante!!

Ingia playstore, ushushe kitu kinaitwa THL eschool. Mule kuna kila kitu, utapata hizo past paper na majibu yake pia kuna maswali mengine ya kutosha. Kazi kwako
Mimi nina maswali na majibu ya darasa la sita na darasa la saba niko tayari kufanya biashara ya kubadilishana boss
, member: 199598"]Kwanza kabisa me ningetaka kujua kama na ww uko tayari kutoa ya kwako, yaan hapo ni biashara ya kubadilisha[/QUOTE]