Mie nilinunua Good Year toka Mlimani City. Bei zao ni reasonable, nilichukuza za size 195/70R15 kwa 120,000/-. Ni nzuri, nimepiga nazo mkoa several times. Bora ukanunua matairi mazuri has kama una safari za mbali ambazo zitakuhitaji kwenda above 120 Kph, zitakuepusha na matatizo.
bf ndo tairi
rav 4 yangu nilifunga 4 years ago
tairi moja 4.75 laki
nunua nne upate moja bure
Napend kumunga mkono Richard hapo juu matairi kweny gari ni uhai wko! Tc gud ujikaze upate BF Goodrich hayo matairi ni imara sana kw maoni yngu
....Thanks for info Idimi. Hiyo bei ni nzuri kiukweli. Ulinunua mwaka gani? ns specifically sehemu gani ya mlimani city, au kuna agent wa goodyear pale?
Poleni kwa majukumu wana JF wenzangu.
Naomba mnijulishe aina nzuri ya matairi ya gari na mahali ninapoweza kuyapata lakini yasiwe mojawapo ya brands zifuatazo: Bridgestone, BF Goodrich, Dunlop, Grandtrek, Michelin na Goodride.
Uwezo wangu ni kulipia sh 200,000/= (laki mbili tu kwa kila tairi) na size ya matairi ninayohitaji ni 215/60 R16.
Ninatanguliza shukrani zangu.
Mkuu sasa iyo si size ya collora na izo raum, vitz nk nk ...ndio bei zake. Huwezi kupata 215 r16 kwa bei iyo...labda za ujanja ujanja. Kwa size za 215 225/45/60 r16 r17 tyre za triangle ndio cheap.Mie nilinunua Good Year toka Mlimani City. Bei zao ni reasonable, nilichukuza za size 195/70R15 kwa 120,000/-. Ni nzuri, nimepiga nazo mkoa several times. Bora ukanunua matairi mazuri has kama una safari za mbali ambazo zitakuhitaji kwenda above 120 Kph, zitakuepusha na matatizo.
bf ndo tairi
rav 4 yangu nilifunga 4 years ago
tairi moja 4.75 laki
nunua nne upate moja bure
mkuu sipo sure, nilikua napata hiyo offer wakati nipo arusha,Hiyo offer ya kupata tairi moja bure bado ipo? Bei ya BF Goodrich size 235/85R16 kwa sasa imekaaje?
Kwa haya matairi ya kichina brand ipi ni bora kwa safari za mikoani
We bwanayake baba yako amewahi kuyatumia hayo?wacha kuleta mzaa humu msenge wewe,mijitu mingine inakera sana,unafukuriwa mavi nini?ninayo ya miti hayanaga tatizo bei nzur