what about good ride? tokea mnazi mmoja wanapouza vifaa vya magari, ingia mtaa mmoja ndani(sorry siukumbuki jina), kuna maduka kama manne hivi ya jumla,wanauza matairi bei nzuri sana.
what about good ride? tokea mnazi mmoja wanapouza vifaa vya magari, ingia mtaa mmoja ndani(sorry siukumbuki jina), kuna maduka kama manne hivi ya jumla,wanauza matairi bei nzuri sana.
Mkuu acheche, weka bei na wapi yanapatikana hili uwe wa msaada!nunua falken nazo ni nzuri sana.
Ushauri:
Kwenye gari tairi hupewa umuhimu wa juu sana, ndio uhai wako.
Nakushauri ununue moja wapo kati ya hizo brand ulizo exclude.
Vinginevyo you will be risking your life!
poleni kwa majukumu wana jf wenzangu.
Naomba mnijulishe aina nzuri ya matairi ya gari na mahali ninapoweza kuyapata lakini yasiwe mojawapo ya brands zifuatazo: Bridgestone, bf goodrich, dunlop, grandtrek, michelin na goodride.
Uwezo wangu ni kulipia sh 200,000/= (laki mbili tu kwa kila tairi) na size ya matairi ninayohitaji ni 215/60 r16.
Ninatanguliza shukrani zangu.
kama unafahamu hizo brand zote, si bora pia ungetaja brand unayotaka? Ila nina wasiwasi na price unayooffer. Inaelekea unataka brand babkubwa kwa bei che
...Yaani hizo ni brands chache sana among many in the market. Najua kutakuwa na brands nyingine ambazo sizifahamu na ndo maana nahitaji msaada wa wadau hapa jamvini. Ahsante