Kama una pesa ya kutosha tafuta dell Intel core i7 wanauza 1.2milkilimanjaro
windows pia zina ssd sio mac tu,Kusema tu yenye 4GB ram na 5120GB HDD inaonyesha wazi IT sio field yako.
Kwenye Macntosh computer (apples) ndiyo tuna HDD za 512 na 256 ambazo nazo ni ssd not HDD.
Kwa laptop za kawaida..tuna HDD za 80 GB,160gb,250gb,320,500gb,1TB na kuendelea.Aidha umesema tu ram na storage hujasema processor.. Ni size gani..which is very important kuliko vyote ulivyohitaji..unaweza ukapewa laptop hata yenye HDD ya 2TB but processor yake ni pentium.. Itakusaidiaje??
Njoo ofcn kwetu Dar tukuzie dell vostro cori i3 processor 2.4ghz ,ram 4gb na HDD 320 kwa laki 450,000 warrant miezi 6.Dukani.
Kariakoonataka nijue zinapatikana wapi pia
asante ndugu wewe ndo nilikuwa nakuhitaji...nahitaji laptop safi kaabisa.....ambayo itanisaidia nikiwa chuoKusema tu yenye 4GB ram na 5120GB HDD inaonyesha wazi IT sio field yako.
Kwenye Macntosh computer (apples) ndiyo tuna HDD za 512 na 256 ambazo nazo ni ssd not HDD.
Kwa laptop za kawaida..tuna HDD za 80 GB,160gb,250gb,320,500gb,1TB na kuendelea.Aidha umesema tu ram na storage hujasema processor.. Ni size gani..which is very important kuliko vyote ulivyohitaji..unaweza ukapewa laptop hata yenye HDD ya 2TB but processor yake ni pentium.. Itakusaidiaje??
Njoo ofcn kwetu Dar tukuzie dell vostro cori i3 processor 2.4ghz ,ram 4gb na HDD 320 kwa laki 450,000 warrant miezi 6.Dukani.
mkuu vip graphic yake na hii laptop ni generation ya ngapi?? nataka kumnunulia mdogo wangu laptopKusema tu yenye 4GB ram na 5120GB HDD inaonyesha wazi IT sio field yako.