Msaada: Nahitaji kwenda South Korea

Msaada: Nahitaji kwenda South Korea

Drax001

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
454
Reaction score
240
Habari wakuu,

Nomba msaada naitaji kwenda South Korea sasa kwa mtu yoyote mwenye uelewa au alishawahi kwenda huko naomba msaada kama anafahamu nauli ya kutoka hapa mpaka huko.
 
Ni safari ya kuungaunga..ngoja hesabu ikamilike ntarudi kukujuza
 
Karibu mkuu japo nmeenda maramoja Japan mji mmoja unaitwa Osaka but Wiki ijayo ntakuwa kwa mapank niendelee na majukumu yangu
 
Karibu mkuu japo nmeenda maramoja Japan mji mmoja unaitwa Osaka but Wiki ijayo ntakuwa kwa mapank niendelee na majukumu yangu
asante je, nauli ipoje kutoka huku tanzania?
 
Back
Top Bottom