UNA mvuto gani kwa watu? bila kuwa na influency yoyote huwezi kuwa mwanachama.by the way hii ni jamii ya watu elite duniani katika nyanja zote za kimaisha.yaweza kuwa hapo ulipo unatekeleza ajenda zao bila kujua.
Mbona familia za kina Roschild, Bush na wengineo hazikwisha?LLabda ungemuuliza:::
Kwanza ww binafsi unacho nini ili uongezewe au unadhani utaenda tu lofa utoke kibopa!!?