Msaada: Nahitaji kuwa member wa Illuminat

McCain

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
1,168
Reaction score
517
Wakuu, nataka kujiunga na freemason ili kuboresha na kuimarisha huduma kwa yeyote anayeweza kuniunganisha MSAADA wake kwangu ni muhimu sana.
 
Mungu akusimamie tu hilo uliwazalo lisitokee!
Huenda umesikia tu vijiweni bado hujatafiti kiundani hicho unachohitaji ila hulka za kibinadamu tu ndio zinakusukuma!
 
Wakuu na nataka kujiunga na freemason ili kuboresha na kuimarisha huduma kwa yeyote anayeweza kuniunganisha MSAADA wake kwangu ni muhimu sana
Ayaaaa umechelewa kidogo tu mkuu, chairman wa ukanda wa EA bwana Chande nasikia kafa juzi sasa sijui itakuaje. Anyway subiri msiba upite watawapa utaratibu [emoji13] [emoji13]
 
Una hallucinate au unamaanisha. Sizonje kakunyoosha hadi unaplan short cut, kaza makalio we sindiyo ulikuwa unakafurahia kawimbo ketu pendwa ka mbele kwa mbele
 
Kunywa superglue jagi mmoja... Baada ya hapo utapokea ujumbe kwenye simu yako Kuwa Asante kwa kujiunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…