Sawa mkuu,Ndugu wana JF nawasalimu,
Baada ya salam husikeni na kichwa cha mada,
Kama kinavosema nina shida ya kupata mkopo na nina dhama ya biashara na kiwanja na pia ninaishi kwangu yaani sijapanga.
Naomba kama kuna mtu anahusika na mikopo au ana ndugu au rafiki hata jamaa anaehusika na mkopo iwe bank au taasisi yoyote aniunganishe naye ila nilikuwa nahitaji mkopo wa milion 6 kuendelea na uwe mda mrefu kama miaka 2 au hata 3 ili isinisumbue kuulipa maana nafahamu hela ya bank au ya kukopa haipotei hata sh 100 inatakiwa kulipwa yote.
Kwa mawasiliano njoo PM au nibipu nitakupigia 0756695846 au 0716258599,nipo dar mitaa ya tbt
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu na samahani kwa usumbufu.
SawaKama unahivyo vyote andaa documents zake nakushauri uende kwenye ofsi mojawapo ya hizo taasisi za kifedha utapata mkopo we nenda utakutana na customer care watakupa ushauri na utaratibu wote ili kufanikisha mkopo wako.
Natumai itakusaidia.
Naomba kujuzwa piaHivi ni kweli academic certificates mfano za o-level na advance zinaweza kuwa dhamana ya mkopo ?
ukipewa jibu positive usijaribu kufanya unachotaka kukifanya...tunza vyeti vyako mkuuHivi ni kweli academic certificates mfano za o-level na advance zinaweza kuwa dhamana ya mkopo ?
Kwanini mkuuukipewa jibu positive usijaribu kufanya unachotaka kukifanya...tunza vyeti vyako mkuu
Naona kama vile umeanza Kuhamasika na mkopo.....Kwanini mkuu
Hahaha ndio mkuuNaona kama vile umeanza Kuhamasika na mkopo.....
duh mbona kahela kadogo hivyo!!! Hapo utakuwa hujaweka vyeti dhamana bali ni sawa na umeviweka kwenye tundu la choo...unajua kwanini? Kwa sababu kilo 3 pekee ni risk!! Nilidhani labda kuanzia 1m ingefaa kuinvest hata kwenye micro-scale enterpreneurship ila sio 300k ni ndogo sana labda kama unataka ya kula tu.Hahaha ndio mkuu
Nilihitaji sana kama kilo 3 tu
Yeah ni ya kutumia tu mkuuduh mbona kahela kadogo hivyo!!! Hapo utakuwa hujaweka vyeti dhamana bali ni sawa na umeviweka kwenye tundu la choo...unajua kwanini? Kwa sababu kilo 3 pekee ni risk!! Nilidhani labda kuanzia 1m ingefaa kuinvest hata kwenye micro-scale enterpreneurship ila sio 300k ni ndogo sana labda kama unataka ya kula tu.
Sawa...Mungu akufanyie wepesi ktk hilo mkuu.Yeah ni ya kutumia tu mkuu
But like you have said.ngoja nivitunze tu