Habari zenu Waungwana.
Nahitaji kununua Photocopy Machine na Printer kwa ajili ya biashara ya stationary.
Naomba mnisaidie, ni aina gani ya vifaa hivi ni bora na Imara kwa kufanyia biashara hii.
Naomba mnisaidie na specification zake ili iwe rahisi kuvitafuta.
Kama mtanisaidia pia bei zinarange vipi na mahali ambapo vifaa hivi vinapatikana kwa urahisi, NITASHUKURU SANA.