Nimehitimu BAED( UDSM), Masomo ya Geography na political science sababu za kutaka kwenda huko ni ndoto yangu kufanya kazi nje ya nchi ila napnda Ndani ya East Africa zaidi nchi nilizotaja hapoKwanza hujatueleza unataka kwenda kufundisha nini, elimu yako sababu ya kwenda huko. Nikukumbushe tu kwamba endelea kulitumikia taifa lako.
Ahsant mkuu kiswahili nawez maana nimkisoma advance, seme nataka kujua procedures a kufanya kazi huko inakuwajeHongera mzeee nice dream sikukatishi tamaaa but faham changamoto kwanza za nchi unayotaka kwenda kuwa husttle, kwa nchi kama kenya mm nimewahi kuishi huko pia hata elimu ya msingi nimepiga huko miaka minne, japo baaadae nilikuja kusomea tz na elimu ya juu pia lakini baadae niliingia nchini kenya kuwa mpambanaji wa life ,kenya ni mabingwa wa elimu wamesoma mpaka nnje ya bara la afrika na bado changamoto ya ajira kwao mmmh ni msiba
mfano jiji la nairobi linakaliwa kwa wingi na wasomi ila ajabu ndo hao hao watembeza mitumba mabegani pia ndo wauza sweaty kwenye vijisahani na mahidi mchemsho na ndo hao hao wanamiliki migahawa ya kuuza kidheli kama wanavyoita huko kwao ila kwetu tunaita makande
ushauri wangu kwako kama unaweza swahili language kiustandard mmmh kwa nchi ya kenya ni dili
hahaahahaaaaaaaViwanda atajenga nan?
jaribu kwenda kutembelea huko kwanza lkn pia inakubidi utafute rafiki ambaye atakupa information kamili na namna ya kuomba kazi , kuhusu kuenda kenya ama uganda andaaa pasport yako tu then ukafanye utafitiAhsant mkuu kiswahili nawez maana nimkisoma advance, seme nataka kujua procedures a kufanya kazi huko inakuwaje
Unakiweza sababu umekisoma advance au ndo profession yako?Ahsant mkuu kiswahili nawez maana nimkisoma advance, seme nataka kujua procedures a kufanya kazi huko inakuwaje