NACTE nimewa tafuta but hawaja respond chochote ov Nina kosa ndio..mim ni form IV leaver nime apply kwa awamu ya pili vyuo vitatu vya technolgy, ngazi ya diploma..lakini nikaja kugundua kua guide book ina elekeza kua form IV leavers wote lazma tupite kwanza NTA level 4&5 ili tuingie diploma(NTA level 6). SAS nikiingia kwenye profile yangu Hamna option ya kuchange category ili nia apply kwa ngazi ya certi,,please msaada nin cha kufanya.