Mkuu Nashukuru Sana!Do pole ndugu.... wanataka pesa uitoe wapi? Natamani Takukuru wawaone hao masupervisor.... usikate tamaa Mungu ana njia zake....
mkuu nashukuru kwa ushauri wako. lakini pia kilimo bila mtaji wa pembejeo ni shida pia,kutokana na elimu yako kuwa ndogo nakushauri nenda kijijini ukalime mkuu/ujiajiri naamini utafanikiwa tu.
Lakini ukiendelea kukomaa na vibarua utateseka sana
Nenda Takukuru ukawachukulie hela za moto uwapelekee hao masupervisor baada ya hapo hao hao Takukuru watakusaidia kukuombea kaziWakuu Habari Za J'pili!
Wakuu Nakuja Kwenu Kuomba Msaada, Nimejaribu Kutafuta Kazi Za Vibarua Kwenye Viwanda,makampuni Lakini Nimegundua Bila Kuwa Na Chochote Kitu Cha Kumpa Supervisor Imekuwa Ngumu Kupata Kazi,nami kupata Riziki Tu Ya Familia Imekuwa Shida . Wana Jf Naombeni Msaada Wenu Mnisaidie Kunipa/ Mniunganishe Na Mtu Anaeweza Kunisaidia Kibarua. Naamini Jf Ni Mahali Jamii Inapokutana. Elimu Yangu Ni Darasa La7 . Kazi Yeyote Ya Nguvu, Ama Isiyohitaji Elimu Kubwa Naweza.
Naishi
Dar Es Salaam
kunduchi
0655544791.
0765544791
Asanteni.
Mkuu Ninayo Elimu Ya Kupunguza Ujinga Tu Yaani Darasa La 7.mpaka umeingia jf basi una elimu kubwa
ok, unaonekana una mwamko mkubwa wa kutaka kujikwamua kimaisha, lakini hjapitia kidato, lakini hii sio lazima hataWakuu Habari Za J'pili!
Wakuu Nakuja Kwenu Kuomba Msaada, Nimejaribu Kutafuta Kazi Za Vibarua Kwenye Viwanda,makampuni Lakini Nimegundua Bila Kuwa Na Chochote Kitu Cha Kumpa Supervisor Imekuwa Ngumu Kupata Kazi,nami kupata Riziki Tu Ya Familia Imekuwa Shida . Wana Jf Naombeni Msaada Wenu Mnisaidie Kunipa/ Mniunganishe Na Mtu Anaeweza Kunisaidia Kibarua. Naamini Jf Ni Mahali Jamii Inapokutana. Elimu Yangu Ni Darasa La7 . Kazi Yeyote Ya Nguvu, Ama Isiyohitaji Elimu Kubwa Naweza.
Naishi
Dar Es Salaam
kunduchi
0655544791.
0765544791
Asanteni.
Mkuu Kuwachukulia Hela Za Moto Za Takukuru Nadhani Pia Si Jambo Jema Kwani Wao Wameninyima Kibarua Tu Kutokana Na Nafasi Walizonazo, Hawakuninyang'anya Kitu. Hivyo Wakifungwa Ama Kufukuzwa Kazi Familia Zao Zitateseka Ni Bora Niombe Msaada KwingineNenda Takukuru ukawachukulie hela za moto uwapelekee hao masupervisor baada ya hapo hao hao Takukuru watakusaidia kukuombea kazi
Nashukuru Sana MkuuPole mkuu kwa kuchelewa kugundua kuwa kazi za siku hizi bila supervisor ni ngumu
Tena mwingine anakuambia mshahara wa kwanza ni wangu.. watu wabaya sana
lakini usijali utapata "inshaallah"
Mkuu Kuwachukulia Hela Za Moto Za Takukuru Nadhani Pia Si Jambo Jema Kwani Wao Wameninyima Kibarua Tu Kutokana Na Nafasi Walizonazo, Hawakuninyang'anya Kitu. Hivyo Wakifungwa Ama Kufukuzwa Kazi Familia Zao Zitateseka Ni Bora Niombe Msaada Kwingine
Utalimaje kama huna HELAkutokana na elimu yako kuwa ndogo nakushauri nenda kijijini ukalime mkuu/ujiajiri naamini utafanikiwa tu.
Lakini ukiendelea kukomaa na vibarua utateseka sana
nashukuru kwa elimu hiyo, ingawa kwa sasa bado nalia na kazi nipate mtaji kwani yote hayo uliyotaja,yanahitaji pesa.ok, unaonekana una mwamko mkubwa wa kutaka kujikwamua kimaisha, lakini hjapitia kidato, lakini hii sio lazima hata
cha muhimu ili utoke ni mwamko na kujituma kwako, mimi nakushauri anza ufugaji unaweza ukakutoa vizuri tu
unaweza ukaanza kufuga kuku wachache ukakusanya fedha na kukuza idadi hadi kuwa na kuku wengi kabisa
kisha unatafuta tenda ya mahoteli au restaurant kuwa supply mayai na nyama
auunaweza ukafuga kitimoto pia
Lkini ufugaji ni fani inayohtaji elimu pia, itia nyuzi hapa jamiiforums zinazoelezea kuhusu ufugaji na kiimo pia ufanye na utafiti wako kivitendo kwa watu wenye uzoefu...UTATOKA
Siyaamini Maneno Ya Wana Siasa.Nenda kwa mkuu wako wa mkoa RC Makonda akupe kazi! nimesikia anataka kuwatafuteni nyumba hadi nyumba msio na ajira.