[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]We acha tu...una nunua godoro umalizi hata miezi 6 ushakuwa mtumbwi
Umenena vyema natumia brand hiyo kila siku linaonekana jipya nawapa big up sana hawa jamaaTanform Arusha, hutojuta mkuu, alinunua babu mpaka mjukuu analitumia
Futi 5 kwa 6 inch 8' bei gan mkuuTanform iko vizuri mkuu, ninayo mimi leo mwaka wa Sita ila ukiiona nikama nimeinunua leo
Mimi enzi hizo nilinunua 185,000/= ila kwa sasa sijui ni bei gani mkuu, ila wenenda tu madukani utaambiwa beiFuti 5 kwa 6 inch 8' bei gan mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]We acha tu...una nunua godoro umalizi hata miezi 6 ushakuwa mtumbwi
Kuna QFL Godoro Dodoma kalalia dogo mwaka 1.nicheki kwa 0713-039875 .ni 5*6*8" just tzs 120,000Nilinunua Comfy haifai hata...ninaumia mgongo. Hebu nikanunue hiyo Tanfoam au Magodoro Dodoma
Inchi 8/10 wanauzaje?Umenena vyema natumia brand hiyo kila siku linaonekana jipya nawapa big up sana hawa jamaa