Msaada: Nahitaji fastest apn's

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
1,716
Reaction score
1,842
Katika uchunguzi wangu nimegundua uwezo na speed ya intaneti kwenye simu inategemea pia setting za apn (access point names) ukiwa na apn nzuri unaweza kupata hata intaneti yenye kasi inayoweza kufikia 3.75G au 4G kabisaa kutegemeana na eneo ulilopo hata ukiwa eneo ambalo mtandao upo chini sana kama una apn nzuri unaweza kupata mtandao tofaut na ukiwa na apn mbovu ambayo inaweza isikupe kabisa mtandao hivo basi kama unazijua apns ambazo zinatumika kwenye mitandao yote ya simu (universal ) si vbaya ukashea nasi....
 

weka "internet"
 
"internet "" ndo kila ki2 achana na hizo za wap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…