WAKUU. dawa gani inaondoa uvimbe kwa haraka? Jana niliianza pasaka kwa mkosi, nililizua club nikiwa maji, nimeamka asubuhi nimevimba mdomo wa juu, sasa nataka nipate dawa ya kusawazisha huu uvimbe.
Msaada wenu jamani. Nitakoswa kutoka OUT kwasababu ya uvimbe.