Msaada, nahitaji chumba cha kupanga Dar es Salaam

Msaada, nahitaji chumba cha kupanga Dar es Salaam

Acheni mizaha. Anahitaji kutatuliwa shida yake ya chumba ninyi mnaleta masihara. Km hamuwezi kumsaidia kaeni kimya
 
natafuta chumba cha elfu 20 tabata na viunga vyake, ila isiwe kinyerezi
 
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki,

Kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, nahitaji chumba cha kupanga kiwe kizuri chenye muonekano mzuri nje na ndani. Naweza kulipa 70k mpaka 80k per month so mwenye kufahamu na kujua naomba waje wanisaidie kukipata. Lakini pia hata wale wa kutoa mawazo nawahitaji pia kwani watanisaidia kujua maeneo mazuri na salama pa kukaa.

Asanteni.
Chumba kipo cha 80k kigamboni karibu na kati ya machava na mikadi beach, kina tiles na choo chake ndani nicheki 0736673673
 
Natafuta .... chumba na sebule .. self... nalenga kazini TMJ , nikipanda boda isizi buku jero... karibuni kwa ofa zenu mlio na vyumba ...
 
Back
Top Bottom