Msaada, nahitaji chumba cha kupanga Dar es Salaam

output device

Member
Joined
Jan 11, 2015
Posts
10
Reaction score
7
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki,

Kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, nahitaji chumba cha kupanga kiwe kizuri chenye muonekano mzuri nje na ndani. Naweza kulipa 70k mpaka 80k per month so mwenye kufahamu na kujua naomba waje wanisaidie kukipata. Lakini pia hata wale wa kutoa mawazo nawahitaji pia kwani watanisaidia kujua maeneo mazuri na salama pa kukaa.

Asanteni.
 
Kigamboni, tabata kwa ujumla, sinza na maeneo mengine ambayo we unaona yako poa kwa kuishi vijana sio wazee
 
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki,

Kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, nahitaji chumba cha kupanga kiwe kizuri chenye muonekano mzuri nje na ndani. Naweza kulipa 70k mpaka 80k per month so mwenye kufahamu na kujua naomba waje wanisaidie kukipata. Lakini pia hata wale wa kutoa mawazo nawahitaji pia kwani watanisaidia kujua maeneo mazuri na salama pa kukaa.

Asanteni.
Nina chumba changu single kipo vertenary ni 50,000 kwa mwezi
 
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki,

Kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, nahitaji chumba cha kupanga kiwe kizuri chenye muonekano mzuri nje na ndani. Naweza kulipa 70k mpaka 80k per month so mwenye kufahamu na kujua naomba waje wanisaidie kukipata. Lakini pia hata wale wa kutoa mawazo nawahitaji pia kwani watanisaidia kujua maeneo mazuri na salama pa kukaa.

Asanteni.
Karbu
 
Back
Top Bottom