Kuna hii inaitwa "Roller" kama sijakosea spelling kws ajili ya kupunguza kitambi na kukata tumbo. Pia inaimarisha misuli ya kwenye mikono. Haitumii umeme. Inauzwa Elfu kumi tu. Ni kama tairi flani hivi. Ni nzuri pia kwa mazoezi nyumbani
Kibaiskel hiki cha kuendesha barabarani Mkuu?
Kuna hii inaitwa "Roller" kama sijakosea spelling kws ajili ya kupunguza kitambi na kukata tumbo. Pia inaimarisha misuli ya kwenye mikono. Haitumii umeme. Inauzwa Elfu kumi tu. Ni kama tairi flani hivi. Ni nzuri pia kwa mazoezi nyumbani
ilinisababishia nikaharisha kwa siku za kwanza

Mkuu inapatikana maduka gani? Niko dar
Kuna hii inaitwa "Roller" kama sijakosea spelling kws ajili ya kupunguza kitambi na kukata tumbo. Pia inaimarisha misuli ya kwenye mikono. Haitumii umeme. Inauzwa Elfu kumi tu. Ni kama tairi flani hivi. Ni nzuri pia kwa mazoezi nyumbani
hapana ni cha ndani unakisimamisha tu
hakina matairi
Kuna hii inaitwa "Roller" kama sijakosea spelling kws ajili ya kupunguza kitambi na kukata tumbo. Pia inaimarisha misuli ya kwenye mikono. Haitumii umeme. Inauzwa Elfu kumi tu. Ni kama tairi flani hivi. Ni nzuri pia kwa mazoezi nyumbani
Kuna hii inaitwa "Roller" kama sijakosea spelling kws ajili ya kupunguza kitambi na kukata tumbo. Pia inaimarisha misuli ya kwenye mikono. Haitumii umeme. Inauzwa Elfu kumi tu. Ni kama tairi flani hivi. Ni nzuri pia kwa mazoezi nyumbani
ilinisababishia nikaharisha kwa siku za kwanza[/QUOTE
Nimecheka sana, ulienda nacho kwa fujo siku ya kwanza ndio maana!
Wakuu salam,,poleni na majukumu ya kutwa Wakuu nimesoma nyuzi kadhaa humu juu ya kuimarisha uwezo wa sita kwa sita na jambo kubwa wadau wamezungumzia suala la mazoezi.Kutokana na muda wa kukaa kibaruani nalazimika kuamka asubuhi sana na kurudi usiku kutokana na foleni za jiji letu.
Naomba kusaidiwa kuna zile machine fulani (sijui zinaitwaje) unakuwa kama unanyonga hivi.unaweza iweka hata chumbani. Kwa mwenyekujua hizi zinauzwaje? Je kuna ambazo unaweza kutumia bila umeme?.