Ni watu binafsi au halmashauri wanao uza
kama naweza pata kuanzia ekari 100 niunganisha aisee na bei ikoje? Japo kuna mtu ananiambia barabara sio rafiki sana huko.Watu binafsi sema nlikuwa huko juzi tu ndo nmetoka.Make mi ndo nmeingia mwaka huu kulima sio mwenyeji sana ila ardhi ipo ya kutosha mkuu.Sema kuna mtu naeza kukuunganisha nae ili akutafutie make mi ndo mwenyeji wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu
kama naweza pata kuanzia ekari 100 niunganisha aisee na bei ikoje? Japo kuna mtu ananiambia barabara sio rafiki sana huko.
Iko wilaya gani mkuu naona hata kwenye ramani haipo
Unakampuni ya kusaga unga? Mana mahindi bei iko chini na mvua inanyesha vizur sana hivyo hata mwaka huu bei inaweza kuwa chini.Nataka kulima Mahindi mkuu
Lazima Morogoro? Pwani je? Au bejeti yako ni sh ngapi kwa ekari?Nataka kulima Mahindi mkuu
Pwani
hapana
Kuna maeneo pwani yana ardhi nzuri sana kama ya morogoro na bei ni rahisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sehemu gani na bei gani?Kuna maeneo pwani yana ardhi nzuri sana kama ya morogoro na bei ni rahisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sehemu gani na bei gani?