Msaada: Nahitaji ardhi ya kulima kwa trekta mkoani Morogoro isiyo milimani kuanzia ekari 100

guzman_

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,254
2,060
Natumai mko poa

Mtakumbuka uzi wangu huu
Mvomero: Upatikananaji wa Ardhi na Mazao yanayostawi - JamiiForums

Wengi mlinishauri niende pale Halmashauri ya Mvomero. Nilifanya hivyo ila cha ajabu walisema wanaekari 30 tu kwa sasa na nikamwachia Afisa Kilimo anitafutie kwa Wananchi ila matumaini ya kupata ni madogo sana.

Sasa nimeamua kutafuta kwa mkoa wote wa Morogoro sio Mvomero tu. Yeyote anayejua sehemu naweza pata ardhi safi ya kulima kwa tractor (sio milima) kuanzia ekari 100 za kuanzia ndugu zangu. Japo nahitaji kama ekari 200-300

Nawasilisha
 
Mkuu
Watu binafsi sema nlikuwa huko juzi tu ndo nmetoka.Make mi ndo nmeingia mwaka huu kulima sio mwenyeji sana ila ardhi ipo ya kutosha mkuu.Sema kuna mtu naeza kukuunganisha nae ili akutafutie make mi ndo mwenyeji wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
kama naweza pata kuanzia ekari 100 niunganisha aisee na bei ikoje? Japo kuna mtu ananiambia barabara sio rafiki sana huko.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom