Msaada: Nahitahi kutoa document muhimu. laptop haiwaki

mimi ni mimi

Senior Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
129
Reaction score
51
waungwana, naomba msaada nifanye nini ili laptop yangu uwake. Jana nilikuwa nafanya kazi muhimu sna, wakati nataka kuiattach Kwenye email battery ilikuwa very low. Kwahiyo kitendo cha kuchukua charger na kurudi nikakuta laptop imezima. Nilivochomeka haikuwaka tena badala yake inaleta maandishi haya kwenye picha.

Kwa anaye fahamu anisaidie tafadhali.
 
Ingiza CD ya windows au bootable flashdisk; then ikishaboot, bonyeza shift+10 itakuletea command prompt.Ingiza hii
bootsect /nt60 sys kisha bonyeza enter.Reboot computer

Ukiona ngumu,chomoa harddisk, ifunge kama external hard disk utoe hiyo document muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…