single father
Member
- Oct 22, 2019
- 77
- 117
Angekua kaitafuta kwa Shida aisngeituma may b kapewa na BabaπUnatumaje hela kwa mtu usiyemfahamu kirahisi hivyo.
Aisee watu mna hela za kuchezea
Hahaaa kweli bana, hakuitolea jasho hiyo helaAngekua kaitafuta kwa Shida aisngeituma may b kapewa na Babaπ
Au nae Alitapeli Somewhere πHahaaa kweli bana, hakuitolea jasho hiyo hela
Mi nilipewa uhakika kabisa na niliona watu wamepiga helaWajinga waliwao
Wajinga hawaishi
Ova
πππAu nae Alitapeli Somewhere π
Pole single FatherMi nilipewa uhakika kabisa na niliona watu wamepiga hela
Ushapigwa hakuna ela ya hvyoKuna hawa jamaa wameibuka sina hakika ni lini wamekuwa wakinishawishi mara kwa mara kwamba naweza piga hela kwa kutumia simu janja yangu yani niki watch YouTube video na ku upload status napata hela sasa bhana nimetuma 50,000 yangu halafu tokea jana nakesha na watch video YouTube lakini sipati hiyo faida
Kwa anaye wajua tafadhali anieleweshe
Umekuja lini mjiniMi nilipewa uhakika kabisa na niliona watu wamepiga hela