Nina kama miaka 10 tangu nijiunge kwenye chama cha CHAPUTA...nimeshajaribu sana kujitoa lakini nashindwa..
Hii...Puri naona inaanza kuniletea shida ,nikiwa ndani ya uwanja wa 6/6...mpenzi wangu namuandaa vya kutosha mpaka anakuw hoi...ila mimi Nakuwa sina hisia kabisa ...najilazimisha kuwa na hisia lakn nashindwa....hisia inakuja kiasi then inapotea .....MSAADA WENU NDUGU ZANGU...NAONA APA NAELEKEA KUDHARIRIKA..