Ndugu vyuo vya serikali unavyoapply kupitia nacte ni vya afya na elimu TU. Vingine vyote hata kama ni vya serikali unaapply kwenye websites za vyuo husika.
Umeipata taarifa ya NACTE iliyotolewa Leo kufungua dirisha la udahili?
Kama bado udahili unaanza leo June 15 hadi Septemba 15 Mwaka 2020.
Kazi kwako pamoja na wale wote ambao walikua wakisubiria taarifa hii.
Kwa wale wanaotak kuomba vyuo katika dirisha hili lilofunguliwa kuanzia tarehe 15/6/2020 mnaweza kufollow iyo link apo mtapata msaada wa kuwaeleza jinsi ya kuomba vyuo na maswali yoyote yanayohusu vyuo utajibiwa.
WELCOME