Msaada: NACTE application

Msaada: NACTE application

Teacher Emma

Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
21
Reaction score
9
Nilipokuwa napitia Guide book ya Diploma Holder kuna sehemu palikuwa pananihitaji ku-apload Certificate na Transcript ila wakati nafanya application baada ya kujaza chuo nilichosomea diploma, Jina la program niliyosoma, mwaka niliohitimu na Registration number...moja kwa moja nilipelekwa katika hatua ya kujaza vyuo navyohitaji kuomba. Msaada; Je, si lazima kuapload certificate na transcript au mimi ndiye niliyekosea mahali wakati nafanya application? Msaada tafadhali
 
Ngazi ipi ikuwa unaapply
 
TRANSCRIPT NA CERTIFICATE KUUSU MATOKEO YAKO CHUO ULICHOSOMA HUWA WANA UPLOAD WENYEWE MATOKEO NACTE NA WALA HUITAJIKI KUA NA TRANSCRIPT/CERTIFICATE
 
Nilipokuwa napitia Guide book ya Diploma Holder kuna sehemu palikuwa pananihitaji ku-apload Certificate na Transcript ila wakati nafanya application baada ya kujaza chuo nilichosomea diploma, Jina la program niliyosoma, mwaka niliohitimu na Registration number...moja kwa moja nilipelekwa katika hatua ya kujaza vyuo navyohitaji kuomba. Msaada; Je, si lazima kuapload certificate na transcript au mimi ndiye niliyekosea mahali wakati nafanya application? Msaada tafadhali
Mkuu,kuna baadhi ya vyuo matokeo yao yapo kwenye database ya nacte hivyo hawatohitajika kuapload cheti na transcript ila kuna baadhi ya vyuo pia matokeo yao hayapo kwenye"database "ya nacte hivyo hao ndo watakaohitajika kuapload transcript na cheti. Kwa kesi yako inaonekana chuo chako ni kimoja ambacho matokeo yao yapo kwenye hyo database yao ndo mana huhitajiki kuapload..! Kwa uhakika zaidi ukifungua kwenye profile yako nenda kwenye NTA/Equivalent ili ujiridhishe na matokeo yako kama yapo sahihi.
Nafikiri nimekusaidia kidogo
 
Ni kweli matokeo ya watu wengi yapo kwenye database ya nacte ila mara nyingi udai vyeti na transcript kudhibitisha usahihi wa taarifa za mwombaji je ni yeye kweli ndio maana wana demand miaka ya nyuma ilikuwa lazima uapload ndio unapelekwa kwenye choice ya vyuo
 
Mkuu,kuna baadhi ya vyuo matokeo yao yapo kwenye database ya nacte hivyo hawatohitajika kuapload cheti na transcript ila kuna baadhi ya vyuo pia matokeo yao hayapo kwenye"database "ya nacte hivyo hao ndo watakaohitajika kuapload transcript na cheti. Kwa kesi yako inaonekana chuo chako ni kimoja ambacho matokeo yao yapo kwenye hyo database yao ndo mana huhitajiki kuapload..! Kwa uhakika zaidi ukifungua kwenye profile yako nenda kwenye NTA/Equivalent ili ujiridhishe na matokeo yako kama yapo sahihi.
Nafikiri nimekusaidia kidogo
Mkuu je na mimi inakuaje? maana mpaka sasa mayokeo hayajasoma na tuliambiwa na chuo yatapelekwa tusi upload hofu yangu kwamba nisije kosa chuo mkuu kama picha ilivyo hapo chini je ni upload? ahsanteh
Screenshot_2016-09-05-17-30-30-1.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom