M Marine creature JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 2,255 Reaction score 2,978 Aug 28, 2020 #1 Nina tatizo la tumbo kuuma na kuharisha pale tu nikitumia asali,ningeomba mwenye kujua tatizo ni nini na nifanye nini ili niondokane na. Kadhia hiyo maana inanisumbua sanaa
Nina tatizo la tumbo kuuma na kuharisha pale tu nikitumia asali,ningeomba mwenye kujua tatizo ni nini na nifanye nini ili niondokane na. Kadhia hiyo maana inanisumbua sanaa
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,777 Reaction score 126,724 Aug 28, 2020 #2 Acha kutumia Asali. Ukisikia mtu hatumii baadhi ya vyakula, ndio hiyo sasa
M Marine creature JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 2,255 Reaction score 2,978 Aug 28, 2020 Thread starter #3 Mwifwa said: Acha kutumia Asali. Ukisikia mtu hatumii baadhi ya vyakula, ndio hiyo sasa Click to expand... Ila kipind cha nyuma ilikuwa haina shida nikitumia
Mwifwa said: Acha kutumia Asali. Ukisikia mtu hatumii baadhi ya vyakula, ndio hiyo sasa Click to expand... Ila kipind cha nyuma ilikuwa haina shida nikitumia