Habari
Kuna kijana amepata nafasi ya kwenda kusoma India kupitia mpango wa serikali ya India "Study In India " (SII) ambapo amepata udhamini wa 100% tuition fee waiver analipiwa, lakini gharama zingine za kuongezea ni USD 2200 afanyeje maana ni ndoto yake kubwa sana kwenda kusoma nje ya nchi.
View attachment 1153436