Hongera kwa hatua ya kwanza (kutambua kuwa hauishi kama wewe, umeijua thamani yako). Kama walivyosema wachangiaji hapo chukua hatua ya pili ambayo ni kuanza na vibarua. Utaanza na kazi ya kukupa hela ya kula huku ukipata uzoefu wa elimu kitaa. Mungu akusaidie.