Umesema unavutiwa na kwenda kuabudu ng'ombe, sasa kabla ya kuvutiwa mimi nilidhani ushafanya upembuzi yakinifu.habarini wana jamvi, mimi ni kijana niliyezaliwa na kukulia kwenye misingi ya dini, nilipata bahati ya kusoma katika shule ya kidini hivyo kupata mafunzo mengi ya kidini lakini kaadiri nilivyopata mafunzo zaidi ya dini yangu ndivyo nilivyozidi kupata mikanganyiko mingi na mashaka juu ya dini yangu, spendi sana kuweka wazi ni dini gani na ni mikanganyiko gani kuepusha mjadala wa kidini.
katika taharuki hii nimejikuta nasima na kuvutiwa sana na imani ya BUDDHISM, naomba maoni yenu ni vipi naweza kupata mafundisho yao zaidi,? faida na hasara za imani hii, na pia kwa Tanzania wanapatikana wapi nikihitaji mentorship,? naomba msaada wenu wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha kwa umri wangu naweza amua juu ya masuala yangu ya imani mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazazi wako umewaambia?
Usije katalia chooni kama yule binti wa saud arabia! huko Ireland!
nyama ya ng'ombe sipendi toka nikiwa mdogohasara ya kwanza hutaruhisiwa kula nyama ya ng'ombe ila sijui kama na kitimoto nayo hutaruhusiwa kuwala
kuna mafundisho mengi nimesoma ila nataman kujua zaidi, naomba ufafanuzi wako zaidiUmesema unavutiwa na kwenda kuabudu ng'ombe, sasa kabla ya kuvutiwa mimi nilidhani ushafanya upembuzi yakinifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaha kweli ahamie tu huko buzaKaribu sana Buza mkuu
Mimi naishi Yombo Buza huu ni mwaka wa 3 sasa kuna shmu zingine kama Yombo Makangarawe,Yombo Kilakala,Yombo Vituka
AmenMANENO YA ROHO MTAKATFU.
Unapaswa kutafuta njia ya uwiano na Kristo'
Mwenyezi Mungu anasema "ninyi mnatafuta tu uwiano na Mungu asiye yakini, na kutafuta tu imani zisizo yakini ihali ninyi hulingani na Kristo. Si uovu wenu utapata adhabu kama ile wanayostahili waovu? Wakati uo huo, mtagundua Ni aina gani ya adhabu italetwa juu ya wale walio katka uadui na Kristo. Siku hyo itakapofika, ndoto yenu ya kubarikiwa kwa imani yenu katka Mungu na kupata kuingia mbinguni, yote itakatizwa, Lakini, hata hivyo si hivyo kwa wale ambao wanalingana na Kristo. Ingawa wao wamepoteza sana,ingawa wamekabiliwa na mengi ya ugumu wa maisha, watapokea urithi wote ambao nimeutoa Kwa ajili ya mwanadamu. Hatimaye,mtaelewa kwamba Mimi tu ndiye Mungu mwenye haki, na kwamba Ni Mimi tu niliye na uwezo wa kuwachukua binadamu mpaka hatima yao yenye kupendeza , mtaelewa Yale mliyoyapuuza ndiyo yalikuwa msingi wa maisha yenu, mtaelewa kwamba akili niliyowaumbia mliitumia bure katka imani za kusadikika zilizojaa uongo na Faraja bandia"
Sent using Jamii Forums mobile app
sunn wana uhusiano na BUDDA,?Tafuta msikiti was kisunn ongea na immamu upate darsa then silimu kalimatu lailaha illah lahh itakupawepesi mkubwa
Mzigo ulio nao utatuaa
Sent using Jamii Forums mobile app