mkuu nokia yangu xl inagoma kuingiza charge, nachajia charger original lakini ukiiacha the whole day zinaingia asilimia mbili tuu, nikajua tatizo ni bettery lakini nimebadili wapi, lakini tatizo lilianza soon baada ya kuchajia power bank mchina... msaada please....