Msaada na ushauri kuhusu tahasusi ya EGM

kk age

Member
Joined
Mar 26, 2016
Posts
96
Reaction score
26
Jamani habari ,naomba msaada ili MTU aende form five EGM comb anatakiwa awe na ufaulu upi msaada wenu kwa wale wazoefu.
 
Jamani habari ,naomba msaada ili MTU aende form five EGM comb anatakiwa awe na ufaulu upi msaada wenu kwa wale wazoefu.
1..hesabu atleast C
2..Jiografia atlest C
3..na masomo mengine pia
 
Shule na shule ila hakisha umepiga vizuri hayo masomo kiongozi utapata skuli unayoitaka serikali
 
Hapo hesabu na geography upate C na mengineyo ufaulu pia kama history, English nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…