Msaada na ushauri katika kuweka windows

high vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,941
Reaction score
2,183
wadau na watalaamu wa mambo ya computer naombeni msaada wa kujua ni ipi windows nzuri kwa matumizi na inayovumilia virus mara utasikia kila mtu windows anasifia kati ya windows hizi windows7,8.vista,xp,2000 ipi ni nzuri jamani nsaidieni ili nijue
 
Tumia wn 7,
hizo nyngne ztakutesa hasa win 8,
mambo meng ni mapya kwako hvyo itakusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…