Msaada: Mzigo wangu umetumwa kwa DHL. Je, wapoje?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,580
4,634
Mimi ni mzoefu wa kununua mtandaoni kwa muda ila sijawahi kutumia DHL hapo kabla kuna siku ya discount nilinunua Kiparcel kimoja Wireless, usb and Bluetooth Headphone kwa 10k ilikua siku ya discount na free shipping

Sasa jamaa kanitumia kwa DHL inaonekana katuma toka tarehe 6 kwa DHL ila tracking number ya dhl haionyeshi chochote

Wala kutrack chochote unaambiwa tu tracking no not found

Hebu nijuzen dhl huchukua siku ngap mpaka bongo?

Vipi gharama wanayotoza ya viparcel kidogo km hicho jee nitalazimika kuwalipa?

Ofs zao zipo wap kwa Dar wanapopokelea mizigo?
 
Mara kadhaa wanaweza kutumia courier flan kwa sehembu flan tu , mathalan shipper anaweza kutumia DHL kutoka china Hadi Singapore tu , then kutoka pale akatumia Singapore post , ikitokea hivi utqoewa track number ya dhl first , then itakuja track number nyingine. baadaye .
Ila Kama mzigo umetumwa na DHL straight to dar jiandae na formalities za Kodi hasa Tin
 
Sawa sawa maana hata muuzaji hajib msg
Mara kadhaa wanaweza kutumia courier flan kwa sehembu flan tu , mathalan shipper anaweza kutumia DHL kutoka china Hadi Singapore tu , then kutoka pale akatumia Singapore post , ikitokea hivi utqoewa track number ya dhl first , then itakuja track number nyingine. baadaye .
Ila Kama mzigo umetumwa na DHL straight to dar jiandae na formalities za Kodi hasa Tin
 
DHL wako vizuri mno, ila ndo the Most Expensive katika usafirishaji mizigo, hawa jamaa gharama zao sio za kitoto kabisa
 
Mara kadhaa wanaweza kutumia courier flan kwa sehembu flan tu , mathalan shipper anaweza kutumia DHL kutoka china Hadi Singapore tu , then kutoka pale akatumia Singapore post , ikitokea hivi utqoewa track number ya dhl first , then itakuja track number nyingine. baadaye .
Ila Kama mzigo umetumwa na DHL straight to dar jiandae na formalities za Kodi hasa Tin
Sasa mfano naagiza kitu cha tsh 10,000,,

Unaambiwa dhl tu gharama ni laki,,bado kodi,,si bora uwaachie tu,
Wale jamaa gharama zao za kijinga sana..,
 
Kiufupi Ukiona neno Free Shipping Mzigo wako kamwe DHL haiusiki. DHL hawajawahi kuwa na Free shipping hivyo basi huo mzigo unakuja na AliExpress standard shipping so utakuja Posta hapo Utasubiri Kuanzia Mwezi, Miezi miwili hadi Mitatu
 
Mimi ni mzoefu wa kununua mtandaoni kwa muda ila sijawahi kutumia DHL hapo kabla kuna siku ya discount nilinunua Kiparcel kimoja Wireless, usb and Bluetooth Headphone kwa 10k ilikua siku ya discount na free shipping

Sasa jamaa kanitumia kwa DHL inaonekana katuma toka tarehe 6 kwa DHL ila tracking number ya dhl haionyeshi chochote

Wala kutrack chochote unaambiwa tu tracking no not found

Hebu nijuzen dhl huchukua siku ngap mpaka bongo?

Vipi gharama wanayotoza ya viparcel kidogo km hicho jee nitalazimika kuwalipa?

Ofs zao zipo wap kwa Dar wanapopokelea mizigo?

MUHIMU.
regardless ya courrier atayetumika kwanza hakikisha TIN number yako unayo tayari ili usikwazane na TRA.

DHL pia hawana tym maalum sometimes 3 days hadi 10 days inadepend mzigo umetoka wapi. Kuna kipindi ilishatokea siku 20 mzigo haukufika.

Wachek dhl

DHL Tanzania LTD
DHL House
Julius Nyerere International Air Port.
Terminal 2 Via Gate Number 6
Nyerere Road
Dar Es Salaam

Call Centre: +255 (0) 22 219 4900
 
Kiongozi inategemea na uzito na space itayokula huo mzigo.
Vipeperushi vyao vinasema kuanzia nusu kilo ni zaidi ya laki,kwahiyo hata uagize mzigo gram 250,bado wataitreat kama nusu kilo,maana bei zao hazionyeshi uzito chini ya nusu kilo ni bei gani.
 
Hello habari,,, nahitaji mtu anieleweshe kuhusu kutuma mzigo kwenca nje kupitia DHL na kupokea pia,,, ni mgeni Sana kwenye hizi issue
 
Back
Top Bottom