msaada mywi 5.0 cracked from cydia ?

fazsb

Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
50
Reaction score
5
ninatumia iphone 4 with gevy , nimeijailbroke ! sasa siwezi kupata option ya personal hotspot . nisaidieni cydia repos ya mywi 5.0 cracked . thanks
 
ninatumia iphone 4 with gevy , nimeijailbroke ! sasa siwezi kupata option ya personal hotspot . nisaidieni cydia repos ya mywi 5.0 cracked . thanks
ipo na IOS ngapi? kwasababu ios 5 ina inbuit personal hotspot huna haja ya MyWi,, jaribu hizi ( cydia.xsellize.com, cydia.myrepospace.com/Ebildude123/ na ihackstore.com/repo ) ni nzuri sana,,

 
natumia 5.1.1 ,firmware 4.10.1 cjapandisha baseband ! mkuu natumia gevy na huwa hazikubali personal hotspot ....... ngoja nijaribu hizo repos
 
natumia 5.1.1 ,firmware 4.10.1 cjapandisha baseband ! mkuu natumia gevy na huwa hazikubali personal hotspot ....... ngoja nijaribu hizo repos
hapo ni muhimu sana kupreserve baseband wakati wa kurestore, ikienda 4.11 hiyo gevey itakataa,, umejaribu kwenda kwenye settings-general-network kuangalia kama kuna personal hotspot? maana sometimes ni mpaka uiwashe kule,,

 
ndio kamanda hiyo option hakuna ! alafu hizo repos zinanipatia old version ya mywi ..... kuna moja nilipata kwenye forum lakini yenyewe ni 4.61.1 inapiga black screen . IOS 5 wameweka security kubwa cjui hiyo 6 itakuaje
 
hii kitu simple kinomaa nenda setting alafu network alafu cellular data network kwenye sehemu ya APN jaza Internet Tethering alafu subiri kama dk 2 utaiona Personal Hotspot kwenye setting
 
hii kitu simple kinomaa nenda setting alafu network alafu cellular data network kwenye sehemu ya apn jaza internet tethering alafu subiri kama dk 2 utaiona personal hotspot kwenye setting
kamanda toka juzi hadi leo hakuna kitu
 

Attachments

  • IMG_0175.PNG
    19.6 KB · Views: 31
  • IMG_0176.PNG
    37.4 KB · Views: 33
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…