Wataalifu watu wa Facebook kwa e mail. Watakutumia maelezo ya nini cha kufanya kwenye e mail yako. Ila naona ajabu umesema huyo aliyeingia amebadili mpaka e mail password!?. Hapo ni ajabu kidogo huyo mtu kujua passwords zako mbili tofauti!(wife,hubby,gf,bf or?). Lakini pamoja na yote Facebook watakuuliza maswali personal kama ulivyojaza form yao mwanzoni na wakiridhika watatatua tatizo lako.Imeshawahi kutokea hiyo na mhusika alitatuliwa tatizo lake Pole.